CHANJO NA KINGA ZA MUHIMU KWA KUKU WA MAYAI,CHOTARA NA KIENYEJI.

1. Baada ya kuanguliwa

Chanjo ya Marek’s
Dawa HVT
Namna: sindano

2. Siku ya 2 hadi 6
KINGA ya Pullorum
Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin
Namna: Maji

3. Siku ya 7
Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle)
Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji

4. Siku ya 14
Chanjo ya Gumboro
Dawa: chanjo ya Gumboro
Namna: Maji

5. Siku ya 16 – 20
KINGA ya Koksidiosis (coccidiosis)
Dawa: Trimazine 30% plus vitamin (Vitalyte itafaa)
Namna: Maji

6. Siku ya 21
Chanjo ya Mdondo tena.. [Maelezo yapo kwa juu]

7. Siku ya 28 Rudia chanjo ya gumboro

Siku 29 hadi 32
KINGA: kuimarisha kinga ya mwili
OTC 20% changanga na Amin’Total vitamin

8. Siku ya 35 hadi 39
KINGA: Mafua
OTC 50% au CORDIX (ukiona kinyesi kina muharo kiasi) au Tylosine 75% changanya na Amin’Total.

9. Siku ya 56
Chanjo: Ndui

10. Siku ya 60 hadi 64 (Rudia kuimarisha mwili)

11. Wiki ya 12 ( kati ya siku ya 64 hadi 70)
Chanjo: Typhoid

12. Wiki ya 13 (kati ya siku 85 hadi 91)
KINGA: minyoo

13. Wiki ya 15
Ukataji wa midomo

14. Wiki ya 16
KINGA ya kipindupindu
OTC 20 YA SINDANO
Sindano kwenye nyama ya kifua

15. Wiki ya 17
KINGA ya mafua
Tylosine ya sindano
Sindano kwenye nyama ya kifua

16. Wiki ya 18
chajo ya Typhoid

____
Baada ya hapo, waache kuku.. Hakuna sindano tena…
___
Chanjo zinazobaki ni

(A) Mdondo/Kideri(Newcastle Vaccine) aina ya LASOTA
(B) Minyoo
____
Hizi zote ni kila baada ya miezi mitatu mitatu..
____.
Source:http://fugakibiashara.blogspot.com

Leave a Reply