jifunze kutengeneza chakula cha kuku,nguruwe,na ng’ombe kwa teknolojia ya hydroponics

SEHEMU YA KWANZA

Tumerahisisha zaidi maelezo na kuifanya iakisi mazingira harisi ya mfugaji wa kitanzania

Hydroponic ni nini?

Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua siku 6 hadi tisa kukamilika.

Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za majani na mizizi.

Faida za Teknolojia hii

  1. Malisho huzalishwa ndani ya muda mfupi katika eneo dogo.mfano eneo la 4X3 mita huweza kutoa malisho sawa na ekari 2.
  2. Chakula hiki hulika chote kwa mifugo. Wanakula najani yote pamoja na mizizi. Hakuna upotevu wa chakula.

iii. Mahitaji ya maji ni madogo na maji yanaweza kutumika tena na tena.

  1. Gharama za uendeshaji wake ni mdogo; hakuna kuandaa ardhi, palizi na gharama za uvunaji.
  2. Uwezekano mdogo sana wa wadudu ama magonjwa kushambulia.

Faida katika ulishaji

 

Leave a Reply