Kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa.

 • Ikiwa ni miaka 19 tangu kuondoka shujaa wa Taifa letu Mwalimu Julius Nyerere tuendelee kumkumbuka daima kwa kutambua Rasilimali ya kwanza kabisa ni Ardhi kwa maendeleo na shughuli mbalimbali za maendeleo ya Tanzania yetu hasa shughuli ya kilimo na ufugaji.
  |
  Kilimo Smart tunawatakia maadhimisho mema ya ya kumkumbuka baba wa Taifa tumuenzi kwa kuipenda nchi yetu Tanzania na kufanya kazi kwa ajili ya nchi yetu tuweze kujikomboa na maadui wa nchi yetu.
  #Nyerereday
  #Kilimosmart
  #Kilimosmartapp
  #Kilimo Biashara
  #Jifunze Kilimo Biashara

Leave a Reply