UTATUZI WA UAGIZAJI WA MAFUTA YA KULA NJE KWA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA CHIKICHI.

Takwimu za chama cha wasindikaji wa mbegu za Alizeti(Tasupa),zinaonyesha mahitaji ya mafuta ya kula nchini ni Tani 570,000 kwa mwaka lakini  uzalishaji wa ndani ni Tani 210,000 tu ambapo Tani 180,000 zinatokana na Alizeti wakati vyanzo vingine vikichangia Tani 300,000 hivo zilizobaki TaTaTaniTani

Leave a Reply